Villarreal wamtimua kocha Luis Garcia.
Luis Garcia alichukua nafasi ya Javi Calleja tarehe 10 Disemba mwaka jana,
‘Maradona’ ajiunga na RCD Espanyol.
Akiwa katika ligi kuu nchini Uchina aliiwezesha klabu ya Shanghai SIPG kutwaa ubingwa msimu uliopita akifunga mabao 27 na pia kutwaa kiatu cha mfungaji bora.