Aidha rais Infantino pia ameonyesha kuheshimu na kumshukuru Rais wa TFF Wallace Karia kwa juhudi zake kubwa katika kukuza mchezo wa soka katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati [CECAFA].
Rais wa Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni (FIFA) Gianni Infantino amepanga kupeleka agenda za kuanzisha mashindano mawili ya kimataifa katika mkutano...