Mnyama atakata Njombe, aikimbia Yanga!
Klabu ya SimbaSc ya Dar es salaam imeendeleza wimbi la ushindi katika ligi kuu (VPL) baada ya kuifunga Njombe Mji...
Mabati ya Azam Fc, Yamenawirisha paa la Simba
Abdul Mohamed alikuwa na maono, maono ambayo yalikuwa ni msingi wa kuiimarisha Azam FC na kuwa timu imara kwa muda...
Simba yagoma kunywa lubisi, yaitandika Kagera 2-0 yarejea kileleni
Unaweza kusema kama Simba sc wamekata kunyweshwa Lubisi (pombe maarufu ya wenyeji wa mkoa wa Kagera kutoka kwa wenyeji wao...
John Raphael Bocco nahodha mpya Simba sc
Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba sc, imemteua mshambuliaji wake John Bocco kuwa nahodha mpya wa kikosi cha...