BlogKiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezajiMselemu Kandanda09/04/2020Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.