Hatma ya kocha Solari bado shakani licha ya ushindi dhidi ya Valladolid.
Real Madrid jana wamepata ushindi muhimu na ukifuta majonzi ya karibu majuma mawili baada ya kuwachapa Real Valladolid kwa mabao...
MODRIC atumia UEFA na Kombe la dunia kuzika U-Messi na U-Ronaldo.
Kiungo wa timu ya taifa ya Croatia na klabu ya Realmadrid Luka Modric amefanikiwa kubeba tunzo ya mchezaji bora wa...