Tulimsubiria Neymar, Akaja Salah
Kivuli cha Lionel Messi ndicho kilichomtoa, hakutaka kusimama kwenye kivuli cha mtu mwingine ilihali kivuli chake kikiwa kimesinyaa. Mawazo yake...
Salah tizama alipo Ian Rush, kisha jenga ufalme wako
Mwishoni mwa juma hili kutakuwepo na derby ya kirafiki, derby ambayo mashabiki wa timu zote mbili hukaa pamoja na kushangilia...
Mo Salah mwenye sura ya Kiarabu miguu ya Kiholanzi
SOKA ni mchezo unaoongozwa na historia huwezi kuiona thamani ya mchezo huu usiporudi katika historia, wengi wetu tumekuwa ni watu...