UhamishoCoastal Union yamuuza mshambuliaji wake Ulaya!Mselemu Kandanda11/02/2020Timu hiyo imekua na rekodi nzuri katika Ligi ya kwao huku msimu ikishiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Timu hiyo ilikua kundi B pamoja na vigogo Bayern Munich na Totenham Hotspurs.