Kiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetu
Hizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Mwenyekiti: Simba tunastahili pongezi, ule haukua moto.
Kwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.