Etienne kukabidhiwa Stars, Azam wagutuka.
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Mirambo aishukuru COSAFA wakijiandaa na Nusu fainali dhidi ya Zambia.
Kocha wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) Oscar Mirambo ameushukuru Uongozi wa vyama vya soka ukanda wa Kusini kwa Afrika (COSAFA) kwa kuwaalika kushiriki mashindano ya Vijana ambayo Leo yanaingia hatua ya nusu fainali.
Serengeti Boys kutumia michuano ya COSAFA kama maandalizi ya mwisho kuelekea AFCON U17.
Kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ Oscar Mirambo amesema watayatumia mashindano ya Umoja...