Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya 100% mpaka TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nasi.
PARIMATCH na kusema kwamba imekuwa ni desturi yao kusikiliza maoni ya
wateja wao kila mara na kuamua kuyafanyia uamuzi ili kusudi waweze kuwapatia
kitu kilichokuwa bora wateja wao ambao hutumia muda wao ziada kujiburudisha
akili zao na Parimatch.
Kwa mfano unaweza kucheza mchezo wa Don Bingote ambayo inaanzia dau la Shilingi 400 na kila sekunde watu wanavuna mkwanja wa maana yaani huu sio utani watu wanapiga kiukweli”
sasa imewageukia wateja wao kwa kuwamwagia fursa kemkem za kujipatia mamilioni ya pesa kiulani wakati wakiwa wanasajili akaunti zao mpya za ubashiri wa michezo.
Pia msemaji wa kampuni ya Parimatch amesema wapo katika mazungumzo na vilabu vya Championship ili kutoa udhamini zaidi lakini pia wapo katika mazungumzo na Bodi ya Ligi.
Wateja watatakiwa kubashiri mechi 10 zitakazokuwa zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu upande wa Jackpot na watafanikiwa kushinda kitita hicho cha Milioni 10.