UhamishoBocco ni mchezaji wa Simba na siyo Polikwane FC.Martin Kiyumbi11/06/2019Ni jana tu Simba ilitoa picha wakimsaini John Bocco, na leo wataendelea kutoa zaidi. Je Bocco anaweza kwenda kucheza nje?