Yanga yavunja rekodi kibabe Iringa
Kwa matokeo hayo sasa Yanga imevuna alama 4 mkoani Mbeya na sasa wanajiandaa kuwavaa Biashara Utd jijini Dar kabla ya kuelekea January 4 kucheza na mtani wake Simba katika uwanja wa Taifa.
Utabiri wangu: Yanga kufunga nyingi leo
Utabiri Wangu mechi za leo. Nyumbani Matokeo Mgeni Kagera Sugar FC 0 - 1 Azam FC Young Africans SC 3...
Kikosi bora chá VPL cha wachezaji waliosahaulika!
Ligi Kuu Bara imeshapata bingwa tayari huku tukisubiri watakaoshuka daraja na kuwapisha waliopanda daraja KMC, JKT Tanzania, Coastal Union, African...
Simba yachukua ubingwa ikiwa chumbani.
Baada ya kukaa misimu minne bila kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara, hatimaye klabu ya Simba imefanikiwa rasmi kuwa...
Azam fc yaitandika Prisons 2-0
Mabingwa wa kombe la mapinduzj klabu ya soka ya Azam FC, leo hii imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi...