Singano kwenda Yanga?
Tetesi hizi zimetua katika meza ya Uhamisho ya Kandanda, endelea kufuatilia kujua hatma yake.
Singano na Chirwa watemwa Azam Fc
Chirwa alijiunga na Azam Fc akitokea klabu ya Yanga, bao lake katika fainali ya FA liliipa nafasi Azam kwenda Shirikisho.
Natamani kumuona Singano wa Simba chini ya Cheche.
"wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi"