BlogVipaji vikubwa vya Kandanda Duniani hutokea Afrika!Tigana Lukinja3 weeks agoWakati wengi wakiamini World Cup ya 1994 si zama zake tena ,Mzee huyu alikuwepo Marekani na alifunga tena katika mchezo ambao Cameroon walifungwa mabao 6 - 1.