BlogXavi! Kinda wa Kidachi aliekimbizwa Barca na RaiolaZe Mafia2 years agoKwa wanaomjua wakala Mino Raiola lazima wakubali kuwa jamaa ni mhuni, panga pangua mshahara anaolipwa dogo kwa mwaka pale PSG sio wakitoto.