La Liga‘Maradona’ ajiunga na RCD Espanyol.Issack John28/01/2019Akiwa katika ligi kuu nchini Uchina aliiwezesha klabu ya Shanghai SIPG kutwaa ubingwa msimu uliopita akifunga mabao 27 na pia kutwaa kiatu cha mfungaji bora.