Barcelona na zimwi likujualo halikuli likakwisha
Nadhani kuna haja ya kuachana na dhana ya kutumia wachezaji waliopita katika club wakati wa Career zao wakiwa wachezaji kabla ya kuturn kwenye Coaching.
Iniesta atuma salamu za kheri kwa swahiba wake.
Kiungo wa timu ya Vissel Kobe ya Japan Andres Iniesta amemshukuru na kumtakia kheri mchezaji Xavier Hernández Creus ‘Xavi’ ambaye...
Iniesta kumfuata Podolski
Nyota wa Uhispania Andres Iniesta anatarajiwa kutangaza ndani ya siku mbili zijazo kujiunga na klabu ya Vissel Kobe ya nchini...