ZamaniZaire na kipigo cha aibu Kombe la Dunia.Maka Patrick Mwasomola1 year agoWachezaji wa Zaire inasemekana hawakuwahi kulipwa na serikali na pia serikali iliacha kufadhili timu ya Taifa. Pia, hawakuruhusiwa kuondoka nchini na hii ilizuia matarajio yao ya kuhamia vilabu vya Ulaya