Stori Kuu

Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20

Sambaza kwa marafiki....

Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.*Angalizo: Tutajaza tena majina rasmi baada ya bodi ya ligi kutoa majina ya mwisho, endelea kupitia hapa

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz