Ligi Kuu

KMC yamtangaza Etienne Ndayiragije kuwa kocha mkuu

Klabu ya soka ya Kinondoni Municipal Council ya Dar es Salaam imemtangaza kocha wa zamani wa Mbao FC Etienne Ndayiragije kuwa kocha mkuu kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta amesema wameamua...
Ligi Kuu

Rasmi: Himid Mkami aachana na Azam

Klabu ya soka ya Azam ya jijini Dar es Salaam imethibitisha kuachana na kiungo Himid Mao Mkami ambaye amekulia katika klabu hiyo baada ya kudumu kwa takribani miaka 10 tangu akiwa timu za vijana. Taarifa za kuachana na Himid Mao, zimetolewa na afisa habari wa klabu hiyo Japhary Idd Maganga...
Ligi Kuu

Mdogo wake Drogba afanya majaribio Biashara United

Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara imeonesha haina utani kabisa pale linapokuja suala la maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania Bara, kwani mpaka sasa imewaruhusu wachezaji watatu kutoka nchi za Ivory Coast, Ghana na Nigeria kufanya majaribio. Meneja wa klabu hiyo Amani...
ASFC

Chanongo, Khamis waachwa Turiani, Mtibwa Sugar wakielekea Arusha

Mshambuliaji wa Haruna Chanongo pamoja na Saleh Khamis wameachwa mkoani Morogoro katika kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea mkoani Arusha tayari kwa fainali ya Azam Sports Federations dhidi ya Singida United Jumamosi ya Juni 2 mwaka huu. Wachezaji hao wameondolewa katika kikosi hicho kutokana na majeraha...
Ligi Kuu

Alliance yamkana Pappi, yaomba subra

Klabu ya soka ya Alliance School ya Jijini Mwanza imesema bado haijatangaza kocha mkuu licha ya taarifa kuonea kuwa tayari wameshaingia mkataba na kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Rwanda Pappi Kailanga. Afisa habari wa klabu hiyo Jackson Luka Mwafulango amesema ni kweli wamekusudia kubadilisha benchi la ufundi...
Ligi Kuu

Azam yawapa wachezaji wake likizo ndefu

Uongozi wa klabu ya soka ya Azam FC umewapa likizo wachezaji wake hadi Julai 3 mwaka huu ikiwa ni siku moja toka walipoifunga Yanga mabao 3-1 katika mchezo wa mwisho wa ligi siku ya Jumatatu Mei 28, 2018. Akizungumza na wanahabari za michezo Japhary Idd Maganga amesema mbali na likizo...
Blog

Semak Kumrithi Mancini Zenit St. Petersburg

Klabu ya soka ya Zenit St. Petersburg imemtangaza Sergei Semak kuwa kucha mkuu wa klabu hiyo kuchukua nafasi ya Roberto Mancini ambaye ameondoka klabu hapo na kujiunga na timu ya Taifa ya Italia. Semak ambaye kipindi akitandaza kabumbu alikuwa akicheza eneo la kiungo, aliichezea Zenit na kustaafu akiwa hapo mwaka...
Ligi Kuu

Wanachama ‘Pampalila’ washutumiwa kuishusha daraja Majimaji

Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Steven Mapunda ‘Garincha’ amewatumia lawama wanachama wajuaji wa klabu hiyo kuwa ndio chanzo kikubwa kwa timu hiyo kushuka daraja msimu huu. Mapunda ambaye msimu wa 2017/2018 ulipoanza alikuwa miongoni mwa wanaounda benchi la ufundi amesema kelele za wanachama ndio zilimeishusha daraja Majimaji kwani...
1 29 30 31 32 33 34
Page 31 of 34