Wafahamu kwa Undani Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa.
Tangu ilipochukua ubingwa mwaka 2018 bado haijawa tena tishio sana na kama Simba watakwenda Tunisia kucheza nao robo fainali itakua ni mara yao ya kwanza kwa miaka ya hivi karibuni
Tangu ilipochukua ubingwa mwaka 2018 bado haijawa tena tishio sana na kama Simba watakwenda Tunisia kucheza nao robo fainali itakua ni mara yao ya kwanza kwa miaka ya hivi karibuni
Mshammbuliaji huyo ambae ni mchezaji wa zamani wa Dodoma Jiji mpaka sasa ana mabao manne na pasi moja ya bao katika michezo ya Ligi Kuu ya NBC.
“Najisikia furaha sana mwanzoni nilikua nikicheza nakula pesa ndogo ndogo hatimaye leo nimepiga mkwanja huu wa Mamilioni.
Tayari klabu ya Simba imeonyesha kuhitaji ushindi katika mchezo huo na kwa kuonyesha wanauchukulia kwa umuhimu mchezo huo wachezaji wote wanapaswa.
Kwa ushidi huo sasa Yanga inaongoza kundi lake mbele ya US Monastir ya Tunisia huku ikiwaacha Real Bamako na TP Mazembe ikitolewa katika mashindano hayo.
Vilabu vya Afrika Kasakazini kama ilivyo ada vimeendelea kuonyesha ubabe wao kwani kati ya vilabu nane vilivyofuzu nusu ni kutoka katika nchi za Kiarabu.
Simba itampasa kuchanga vyema karata zake katika mchezo wa kwanza kama kweli wanataka kwenda nusu fainali kwani wataanzia nyumbani mchezo wa kwanza na kumalizia ugenini mchezo wa mwisho.
Ni lazima tushinde kwa goli moja au kwa tofauti ya magoli mawili, na tutapigana hadi dakika ya mwisho ili kupata ushindi.
Nae nyota wa Yanga aliyehusika katika magoli mengi zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kenedy Musonda amesema wanajua malengo yao wao kama wachezaji
Mchezo wa kwanza uliopigwa Jijini Dar es salaam Simba walikubali kipigo cha mabao matatu kwa bila mbele ya mashabiki wake na katika mchezo wa leo pia wamekubali kipigo cha mabao matatu kwa moja ugenini katika Jiji la Casablanca.