Uganda wanakufa hivi, Afcon inawezekana
kutamfanya kubadili mipango yake kwa kumuingiza kikosini Mohamed Hussein Tshabalala acheze mlinzi wa kulia halafu Novatus Dismas alieanza kama mlinzi wa kushoto acheze katika eneo lake la kiungo wa ulinzi.
kutamfanya kubadili mipango yake kwa kumuingiza kikosini Mohamed Hussein Tshabalala acheze mlinzi wa kulia halafu Novatus Dismas alieanza kama mlinzi wa kushoto acheze katika eneo lake la kiungo wa ulinzi.
Na kunogesha shughuli hiyo mgeni rasmi atakua ni Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Hamia Mwinjuma huku kiasi cha miliono tano kikitolewa kwa mshindi wa mchezo huo na wadhamini wa michuano hiyo Silent Ocean.
Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi
nafasi zao zilizibwa na Dickson Job na Novatus Dismas ambao kiasili si walinzi wa pembeni licha ya kucheza vyema katika mchezo huo wa ugenini.
Kwasasa Shomary hajaitwa kikosini Stars kiasi cha kupelekea wadau wa soka kutoa maoni tofauti na kuwa gumzo baada ya uteuzi huo wa kocha mpya wa Stars Adel Ameorouche.
Duka hili litawawezesha wakazi wa Fire na wengine wapita njia kubashiri wakichagua machaguo zaidi ya 1000 wanayotaka.
Ligi hiyo imeendelea kushika kasi huku timu za JKT Tanzania, Pamba Fc, Kitayosce na Mashujaa zikipambana kupata nafasi ya kupanda Ligi kuu
Vijana wa Micho sasa wako mkiani mwa Kundi F wakiwa na pointi moja kutoka kwa pointi tisa baada ya michezo mitatu
Tulikuja wiki iliyopita hapa kutoa Reflector kwa bodaboda lakini tukaona hata Askari wetu wa usalama barabarani wana changamoto hii
Ili Tanzania iendelee kuweka hai matumaini yake yakufuzu ni lazima Stars wapate ushindi ili kufikisha alama 7 na kuzidi kuididimiza washinda wakubwa wa nafasi ya pili Uganda.