limeingia makubaliano na mabenki pamoja na mashirika kuhakikisha wachezaji wote wanaocheza ligi nchini Cameroon wanapatiwa Bima za afya hususani wazawa
Soka la Ulaya pengine ndio soka liliofanikiwa zaidi ulimwenguni kwani hupokea wachezaji kutoka karibia mataifa yote ulimwenguni, vilabu vimekua na utaratibu mzuri wa kuendelea kuwa karibu na wachezaji wao