Blog

02:00Asb: Unaongea lugha ngapi?

Simon Mignolet, kipa wa zamani wa Liverpool anazungumza lugha tano tofauti na ana shahada ya siasa. Jamaa licha ya kulinda goli anagonga Kidachi, Kifaransa, Kinyamwezi(Kiingereza) na Kijerumani. Shahada yake ya Siasa aliipata katika chuo kikuu cha Kikatoliki cha Leuven....
Blog

02:00Asb: Idadi kubwa ya Kadi

Kadi thelathini na sita (36) nyekundu zilitolewa katika mchezo uliowakutanisha Claypole na Victoriano Arenas mwaka 2011. Katika mechi wachezaji wote uwanjani, benchi na walimu wao walilimwa red card baada ya vurugu kuibuka....
Blog

02:00Asb: Hofu wa Mipira ya Juu

Gwiji wa Arsenal, Denis Bergkamp alizikosa mechi za ugenini za Arsenal sababu ya hofu yake ya kupanda ndege, na si mipira ya juu. Hii ndo sababu baadhi ya mashabiki wa Arsenal humuita "Mholanzi asiyepaa". Muholanzi huyo ilimbidi kupanda treni katika mechi za ugenini za Arsenal na sio ndege na wenzake,...
1 3 4 5 6 7
Page 5 of 7