Ligi KuuPacome Zouzoua kwa Chama? Bado SanaAbdul Mkeyenge8 months agoNi kumuonea Pacome kumfananisha na mchezaji aina ya Chama, Pacome aliyejiunga Yanga Sc miezi miwili iliyopita
Ligi KuuMuargentina wa Yanga Ailalamikia RatibaMwandishi Wetu8 months agoMuargentina huyo pia ameelezea hali ya kikosi chake lakini pia amelalamikia ratiba ya Yanga akisema wanacheza michezo inayofuatana
Ligi KuuMtihani Wa Yanga Leo Kutoka kwa Watoto wa Mjini.Tigana Lukinja8 months agoHivyo basi mechi haitakuwa nyepesi au ya upande moja licha ya ukweli kuwa Yanga ni bora kuliko KMC.
Ligi KuuKocha Yanga: Tutacheza Kama Timu Kubwa Kupata Matokeo.Mwandishi Wetu8 months agoTunapaswa kujiandaa kama timu kubwa ili kupata matokeo chanya katika kila mechi.
Ligi KuuTunavyopambana Kuwazuia Kina Joti Wetu Katika Soka!Vicent Crement8 months agoTumeona na kushuhudia vilabu vikisaini mikataba mikubwa, mirefu na minono, hii ni ishara ya kukukua
Ligi KuuKocha Simba Akiri Pengo la Inonga BaccaMwandishi Wetu8 months agoMabao mawili ya Mtibwa Sugar yameonekana kumkera Mbrazil huyo na hakusita kuonyesha kusikitishwa kwake
Ligi KuuKocha Simba: Tutacheza Soka la Kimataifa KeshoMwandishi Wetu8 months agoTunahitaji kucheza soka safi na kushinda, hilo ndilo lengo letu
Ligi KuuKocha Mpya Azam Fc Hana Vyeti.Mwandishi Wetu8 months agoMambo ya msingi wanayafanya kiushikaji kitu ambacho kinaharibu hata hadhi ya Ligi kuu,
Ligi KuuSimba imeshindwa kuweka kambi Bongo?Vicent Crement9 months agoSimba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
Ligi KuuKauli ya Kwanza ya Mbeya City Baada ya Kushuka Daraja.Mwandishi Wetu10 months agotumeachana nao, na tunawashukuru ninyi mashabiki wetu kwa hamasa na uvumilivu wakati wote.