Serie A

Serie A

Timu iliyobugizwa 20-0 yaondolewa kwenye ligi nchini Italia.

Unaikumbuka ile timu ambayo ilifungwa mabao 20-0 mwishoni mwa juma hili kule nchini Italia? Basi imeondolewa kwenye ligi. Timu hiyo kwa jina la Pro Piacenza imeondolewa kwenye ligi baada ya kubainika imechezesha wachezaji saba pekee kwenye mchezo huo ambao walifungwa na timu ya Cuneo katika ligi daraja la tatu nchini...
BlogSerie A

Gonzalo Higuain aomba radhi.

Mshambuliaji wa AC Milan Gonzalo Huguain amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo chake cha kukosa penati lakini pia kupata kadi nyekundu ya kizembe wakati timu yake ikiadhibiwa mabao 2-0 na Juventus katika mchezo wa Seria A jana Jumapili. Gonzalo ambaye alipata nafasi ya kuisawazishia timu yake kwa njia...
BlogSerie A

Cassano atangaza kustaafu kwa mara ya tatu.

Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na AC Milan Antonio Cassano ametangaza kustaafu soka kwa mara ya tatu, siku chache tu baada ya kurejea uwanjani. Cassano ambaye aliwahi kuichezea timu ya Taifa ya Italy amesema sasa ameamua kabisa kuacha na soka kwa muda wa kufanya hivyo umefika baada ya siku...
Serie A

Ventura apewa jukumu zito ligi kuu Seria A.

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Italy Gian Piero Ventura ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Chievo Verona inayoshiriki ligi kuu ya nchini Italia ikiwa ni masaa machache baada ya Lorenzo D’Anna kufutwa kazi kutokana na matokea mabovu. Ventura alikuwa hana kibarua toka mwezi Novemba...
1 2
Page 2 of 2