UhamishoZizou aanza usajili, ashusha Mbrazil.Mselemu Kandanda14/03/2019Beki wa kati kutoka Porto fc ya Ureno ndio usajili wa kwanza kabisa wa Zidane baada ya kurejea Santiago Bernabeu.