archivefc porto

BlogLigi

Mwinyi Zahera ana U-Mourinho!

Hapa ndipo alipofanikiwa, aliweka sumu kali sana. Sumu ambayo iliwafanya wachezaji wawe na uwezo wa kupigana sana.Leo hii vizazi vinaikumbuka Fc Porto ya Jose Mourinho. Timu ambayo ilikuwa haitazamwi kwa kiasi kikubwa.