UhamishoKiraka wa Simba atua Namungo fc.Thomas Mselemu4 years agomchezaji huyo wa zamani wa Simba sc na Mbao mwenye uwezo wakucheza kama kiungo pia amesajiliwa na Namungo kwenda kuziba nafasi ya Paul Ngalema ambae tetesi zinasema huenda akarudi katika klabu yake ya Lipuli fc.