KMC yamkomalia mlinda mlango wake!
Ni kweli amejieleza na kujitetea sana na kusema alikua anaulizwa maswali yenye mtego na kujikuta akiongea vitu vingi vya Simba lakini sio kwa kukusudia
Kipa KMC: Naitaka Simba, Yanga walinishindwa maslahi.!
"Kuna klabu zingine zilikua zinanihitaji kama Horoya na Nkana Red Devils lakini sikwenda.