Makala hii inakuletea baadhi ya sajili ambazo zimeonekana kulipa na wachezaji kuingia moja kwa moja katika vikosi vya kwanza na kuleta faidi katika timu
Kongwe Sabato "Kevi Kiduku" wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa "Wanakurukumbi" Kagera Sugar.