“nina furaha kwa sababu naweza kucheza na hata kupata ushindi.. ukitoka majeruhi ni vigumu sana kuwa na kasi yako iliyoizoeleka lakini kikubwa kwangu ni ushindi
Fuatilia dondoo mubashara hapa zikiletwa kwenu na Thomas Mselemu na Martin Kiyumbi moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa. Jiunge na mjadala na kuipongeza Simba SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu.