Jamie Vardy avunja rekodi ya Drogba!
Ligi kuu ya England imemalizika leo kwa kushuhudia Liverpool kubeba imebeba taji lake la kwanza baada ya miaka 30 ,...
Ndidi: Mtoto wa jeshi aliekataa amri ya baba!
Ndidi ana umri wa miaka 23, na bado yuko fiti hivyo ni hazina kwa timu yake ya Taifa Nigeria "Super Eagles" na klabu yake pia ni mchezaji muhimu kikosini.
Samatta anatafutwa EPL
Samatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia mabao 23 klabu hiyo ambayo ilitwaa kombe la ligi yao.
Kocha Roy Hodgson kuvunja rekodi hii Jumamosi.
Kocha Roy Hodgson atakuwa kocha mwenye umri mkubwa kama ataiongoza timu ya Crystal Palace kucheza na Leicester katika michuano ya...
Mesut Ozil ajimwagia sifa baada ya kuwaadhibu Leicester City.
Kiungo wa klabu ya Arsenal Mesut Ozil amejisifia kwa kuonesha soka safi usiku wa kuamkia leo, wakati wa mchezo wa...
Arsenal yatozwa faini ya mamilioni ya shilingi kwa kumzonga refa
Klabu ya Arsenal imepigwa faini ya zaidi ya Shilingi Milioni 61 na chama cha soka England (FA) kwa kosa la...