Simba watacheza na Township Rollers wapinzani wa kimataifa wa Yanga katika mchezo wa awali. Baada ya hapo watacheza dhidi ya Platnumz FC, Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs.
Polisi wa Afrika ya kusini walithibitisha kuibiwa kwa pesa taslimu Paundi 500 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi million 1.4 za kitanzania. Polisi walifanikiwa kuwatia hatiani wafanyakazi watano
Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
Ushindani wa timu hizi ndio utafanya ligi yetu kuwa bora zaidi. Kandanda.co.tz itaendelea na utaratibu wa kusheherekea na wafungaji wa Mabao kila mwezi.
Pamoja na mapungufu ambayo mashabiki na wadau wa kandanda nchini wamekuwa wakizungumza, Ligi Kuu imefanikiwa sana. Nafasi yako kuipigia kura kujua maoni ya wadau na mashabiki wa kandanda.
Fuatilia dondoo mubashara hapa zikiletwa kwenu na Thomas Mselemu na Martin Kiyumbi moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa. Jiunge na mjadala na kuipongeza Simba SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu.