Kama ikishindikana Kampamba, mara 100 arudishwe Kaheza si kumsaini Kapera
Kapera ameachwa mbali mno na kina Kaheza, Salamba na Rashid na ni heri Simba ingewarudisha kundini Rashid na Kaheza kuliko kumsaini Kapera.
Simba sc yaanika usajili wake rasmi!
Wachezaji wanna wetolewa kwa mkopo kwendaa vilabu zingine!
MO arudi Prisons, Nchimbi aende JKT, Kaheza akamuokoe Matola.
WAKATI ni timu tano tu zimemudu kufunga magoli 15 ama zaidi katika ligi kuu Tanzania Bara msimu huu, timu nane...
Usajili Simba hamna kituu!
Pamoja na kufanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup nchini Kenya baada ya kuwafunga wababe wa Yanga Kakamega Homeboys...
Marcel Kaheza na SimbaSc kwisha habari!
Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya...
Napata burudani kumwangalia Marcel Bonaventure lakini sijui mwakani itakuaje!
Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" jezi namba 10 ya Majimaji huku pia akicheza nafasi hiyohiyo kama ya jezi yake namba 10...