Benchi la ufundi la Simba lanukia Azam fc.
Vandebroeck kukatwa mwisho wa msimu na nafasi yake akitajwa kuchuliwa na Florentine Ibenge, ishu ni stori mpya ya kocha msaidizi pamoja na meneja wa timu.
Ooohoo!!! Simba waifuata Mbao na hasira kibao.
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kimeondoka leo asubuhi kikitokea jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro ambapo...