Polisi Tanzania yamnasa kipa wa Simba!
Mlinda mlango huyo aliekua ametimkia nje ya nchi kunako klabu ya Ligi Kuu nchini Kenya.
Singida United kupitisha ‘fyekeo’ dirisha dogo la usajili.
Klabu ya soka ya Singida United kutoka mjini Singida imeweka wazi mipango yake katika dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa...