BlogKwenye Miquissone yupo Sakho kwenye Sakho hayupo Miquissone!Tigana Lukinja5 months agoWengi watajiuliza nini maana yangu juu ya hao wachezaji waliocheza Simba kwa vipindi viwili tofauti kila moja akikonga nafsi za mashabiki wa Wanamsimbazi na wasio wa club hiyo.