Simba wanalazimika kuwa watumwa!
Ni wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.
Ni wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.
Yumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Julio siku zote huwa anaamini yeye ni bora kuliko hawa makocha wa kigeni wanaokuja kufanya kazi na hizi timu.
Baada ya suluhu katika dimba la Benjamin Mkapa, sasa vigogo hao watapaswa kuendelea na majukumu mengine.
Nini mtazamo wako kwa mwamuzi Ramadhani Kayoko aliechezesha mchezo huo, aliumudu mchezo inavyostahili?
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.
Pia ni mhanga wa kadi nyekundu katika moja ya mechi za kariakoo derby pale Estadio de Mkapa Leo ananenda kutuendikia rekodi.
Hii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Sisi tumezoea kucheza mechi kubwa kama hizi nadhani mliona wenyewe katika mchezo wa robo fainali
Kesho tunaenda kutafuta point 3 hatuendi kutafuta “unbeaten”. Tunakwenda kulinda malengo yetu tuliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.”