Vikosi vya Simba na Yanga vipo hivi!
Chama hajacheza mechi ya ushindani kwa takribani wiki mbili kutokana na kutotumika katika mchezo wa shirikisho
Chama hajacheza mechi ya ushindani kwa takribani wiki mbili kutokana na kutotumika katika mchezo wa shirikisho
Na ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Nimemfahamu bwana mdogo Kayoko miaka kadhaa takribani 10 akianza career yake ya uamuzi,
Hizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Kwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Wakati ukifika nitaitisha press na ntaeleza kila kitu.
Kuna wakati anafanya jambo ili awafurahishe mashabiki,
CAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Msimu wa tatu tunaishia robo fainali inaumiza lakini kwa upande mwingine inatia matumaini na faraja kwamba tunamaintain ubora wetu
Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine