BlogTimu ya Taifa yafuzu Afcon Misri!Thomas Mselemu6 years ago Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali za Africa zitakazofanyika nchini Misri. Timu ya...
BlogTanzania inaenda Uganda ikiwa na umbo la ArgentinaMartin Kiyumbi6 years agoKuna vitu vingi sana vya kuvutia katika dunia ya leo, dunia tunayoishi ni moja ya kitu bora kuwahi kutokea ambacho...
Ligi KuuTFF ya Karia na zawadi za jezi kwa washindi wa lgi kuu, klabu zinapaswa kugoma sasa si baadae.Baraka Mbolembole6 years agoWAKATI ligi kuu Tanzania Bara ikiwa katika mzunguko wake wa tatu Shirikisho la soka nchini- TFF limetoa ‘kauli’ ya kushangaza...
Ligi KuuUkweli huu kuhusu Mo Banka umefichwa?Baraka Mbolembole6 years agoMara baada ya leo kuandika makala kuhusu kiungo Mohamed Issa ‘Banka’ na kuhoji kwanini hayupo klabuni Yanga licha ya kusainiwa...
Blog‘Press’ ya leo ilikuwa na Sura ya ‘Kamati ya Harusi’.Martin Kiyumbi6 years agoHapana shaka siyo mara yako ya kwanza kuona hili neno kwenye makala zangu "kila kitu kwenye dunia hii ya sasa...
BlogManara kuongoza Watanzania kuishangilia Taifa StarsThomas Mselemu6 years agoKama hapo awali tulivyokuwa tumetoa dokezo la kikao, vitu vichache tulikuwa tumepatia kwenye baadhi ya vitu. Abdallah Saleh na Thomas...
Ligi KuuNaisubiri kesho ndipo nimsifu Karia.Martin Kiyumbi6 years agoWallance Karia ndilo jina ambalo wazazi wake waliamua kumpatia, sijui kichwani mwa wazazi wao walikuwa wana waza nini kuhusu maisha...
TahaririTunawekeza ubora wa paa la Taifa Stars na kusahau msingi.Martin Kiyumbi6 years agoFikiria neno "hatua" ni neno dogo lakini ndilo limebeba tafasri halisi ya neno maendeleo. Maendeleo ni wingi wa hatua zinazopigwa...
BlogRufaa ya kigogo wa TFF yatupwaAbdallah Saleh6 years agoKamati ya Rufaa ya Shirikisho la soka nchini (TFF), limetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa makamu wa raisi wa Shirikisho hilo...
BlogTakukuru yakamilisha upelelezi wa kesi ya vigogo TFFAbdallah Saleh6 years agoUpelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa dola za Kimarekani 375,418 inayomkabili raisi wa zamani wa Shirikisho la soka nchini...