UhamishoKroose: Ningekua mchezaji wa Man United!KandandaTz4 years agoMpaka sasa Kroose anaitumikia Real Madrid chini ya Zinedine Zidane huku akiwa mchezaji alieshinda vikombe vyote kwa ngazi ya klabu na timu ya Taifa.