Stori KuuGift Mauya! Zawadi ya kweli katika ulimwengu wa soka!Ramadhan Elias27/07/2020Mipango yote ya ile ‘sex football’ wanayotandaza Wanankurukumbi wale inaanzia kwake akipata mpira anaficha kwanza kisha anawastua Seseme, Awesu na Ally Kagawa anawambia ‘wazee mali hii hapa"