Kilichofuata hapo ni historia, hakuna mwanaYanga asiyemjua, hakuna mchezaji wa timu pinzani asiemuhofia, wote walikua wakimuona tu, wanajua kazi ipo leo!
Kongwe Sabato "Kevi Kiduku" wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa "Wanakurukumbi" Kagera Sugar.
Mchezaji huyo wa zamani wa Mbao fc na Yanga amesema kama wachezaji hawajaathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na Ligi kusimama ili kuzuia maambukizi ya corona.
Sisi kama wachezaji tunathamini kazi yetu na ukizingatia team yetu haipo katika hali nzuri tunahitaji kuibakiza katika ligi kila mmoja atafanya mazoezi atakapokuwa.
Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya mabao mawili kwa mawili baada ta Yanga kufuta uongozi wa mabao mawili ya Simba ndani ya dakika 5.