Sekwao Mwendi

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kitivo cha uandishi wa habari. Alijiunga na timu ya kandanda mwishoni mwa mwaka 2018. Anaandika kwa kuchambua kiundani na kutoa elimu tosha katika tasnia ya mpira wa miguu nchini.
EPL

Mashabiki wanne wanaswa kwa ubaguzi wa rangi Chelsea.

Klabu ya Chelsea imebaini vitendo vya ubaguzi , nauchunguzi zaidi unaendelea lakini kama vitabainika dhahiri vitendo hivyo kuwani vya ubaguzi wa rangi kama klabuitachukua hatua kali zikiwemo za kuwafuta uanachama na kuunga mkono sheria zakiserikali kuchukua mkondo wake juu ya suala hilo
Ligi Kuu

Kilio cha Zahera, sababu hii hapa.

Timu ya Yanga imerejea jijini Dar Es Salaam ikitokea mkoani Mbeya kupepetana na maafande wa Magereza, Tanzania Prisons na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1. Baada ya mchezo huo Yanga ilipitia mkoani Rukwa na kucheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Sumbawanga United na kuichapa goli 2-0. Kikosi kizima kimewasili...
Blog

Ahh, Hiki ndicho kilichomleta Chama Msimbazi.

Ukiwa mtaani kwa sasa, mambo ni bomba kabisa kwani kila shabiki wa soka nchini hasa wale waumini wa soka la ndani basi ni furaha tupu. Ni mara chache sana kukuta mashabiki wote wanafurahi lakini kwa wale wa timu kubwa kama Simba, Yanga na Azam Fc wote wanafuraha kwa kuwa timu...
Mabingwa Afrika

Simba wafanyiwa “figisufigisu” ugenini.

Klabu ya Simba imewasili jana Uswatini ikitokea Afrika ya kusini, huku wakigawana vikosi viwili kwa kuwa ndege iliyokuwa iwafikishe Uswatini haikuwa na uwezo wa kubeba kikosi chote, badala yake kikosi cha kwanza kiliwasili saa saba mchana  na kingine kikiwasili saa tisa. Akielezea juu ya hali ya hewa na wachezaji kwa...
Blog

Kijitonyama Combine yalipa kisasi mbele ya Chama la Wana Fc.

Timu ya Kijitonyama Combine imefanikiwa kulipa kisasi kwa kuichapa timu ya Chama la Wana Fc  ambayo ni muunganiko wa wanafunzi waliosoma chuo cha St Augustine kwa mkoa wa Dar es alaam kwa  mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa TTCL- Kijitonyama. Mchezo huo ambao ulikuwa ni wa...
Mabingwa Ulaya

Mourinho atoa sababu za kumwaga maji akishangilia

Katika ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Young Boys katika uwanja wa Old Traford, katika muendelezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL) Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alishangilia goli la kiungo Mmbeligiji Marouane Fellaini kwa staili ya aina yake. Mourinho alionekana kumwaga chupa za maji nje na ndani...
Ligi Kuu

Yanga yatakiwa kubadili jina mara moja

Shirikiho la soka Tanzania (TFF ) kupitia kwa katibu mkuu Wilfred Kidao limeiandikia barua klabu ya Yanga kuitaka kubadili jina lake la usajili kutoka “Young African Sports Club” na kuwa “Young African Football Club”. Barua hiyo imedai kuwa, kujiita sports club maana yake ni kujihusisha na michezo mingine tofauti na...
1 11 12 13
Page 13 of 13
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.