Kocha Yanga: Tulifanya makosa, Simba ni hatari!
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.
Pia ni mhanga wa kadi nyekundu katika moja ya mechi za kariakoo derby pale Estadio de Mkapa Leo ananenda kutuendikia rekodi.
Hii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Sisi tumezoea kucheza mechi kubwa kama hizi nadhani mliona wenyewe katika mchezo wa robo fainali
Kesho tunaenda kutafuta point 3 hatuendi kutafuta “unbeaten”. Tunakwenda kulinda malengo yetu tuliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.”
Chama hajacheza mechi ya ushindani kwa takribani wiki mbili kutokana na kutotumika katika mchezo wa shirikisho
Nimemfahamu bwana mdogo Kayoko miaka kadhaa takribani 10 akianza career yake ya uamuzi,
Wakati ukifika nitaitisha press na ntaeleza kila kitu.
Kuna wakati anafanya jambo ili awafurahishe mashabiki,
AGGREY MORRIS Mayele alishathibitisha ili umzuie inahitaji AKILI, NGUVU NA UMAKINI MUDA WOTE