SpochaSaa02Asb: Hawachezi Mechi MchanaVicent Crement8 months agoIwe michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya ama Ligi ya Ufaransa (League 1) wao hucheza mida ya usiku tuu.
SpochaSaa02Asb: Hawajawahi Kuwa Bora Wakati MmojaVicent Crement8 months agoKwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta
SpochaSaa02Asb: Kipa wa Kombe la DuniaVicent Crement8 months agoAmevichezea vilabu kama vile Maerica (2004-2011), Ajaccio (2011-2014), Malaga (22014-2017), Granada (2016-2017)
SpochaSaa02Asb: Hawavai Jezi za Mikono MifupiVicent Crement8 months agoMara zote huonekana wakiwa wamevalia jezi za mikono mirefu
Blog02:00Asb: Tuzo nyingi za mchezaji bora Afrika.Vicent Crement9 months agoMshambuliaji Samwel Etoo wa Cameroon na kiungo Yaya Toure wa Ivory Coast ndio wachezaji waliotwaa tuzo ya mchezaji bora wa...
Blog02:00Asb: Unaongea lugha ngapi?Vicent Crement9 months agoSimon Mignolet, kipa wa zamani wa Liverpool anazungumza lugha tano tofauti na ana shahada ya siasa. Jamaa licha ya kulinda...
Blog02:00Asb: Idadi kubwa ya KadiVicent Crement9 months agoKadi thelathini na sita (36) nyekundu zilitolewa katika mchezo uliowakutanisha Claypole na Victoriano Arenas mwaka 2011. Katika mechi wachezaji wote...
Blog02:00Asb: Hofu wa Mipira ya JuuVicent Crement10 months agoGwiji wa Arsenal, Denis Bergkamp alizikosa mechi za ugenini za Arsenal sababu ya hofu yake ya kupanda ndege, na si...
Blog02:00Asb: Wapi mipira hutengenezwa?Mwandishi Wetu10 months ago80% ya mipira yote inayotumika duniani hutengenezwa Nchini Pakistan. Kiwanda kinachotengeneza mipira....
Blog02:00Asb: Speed ya Mchezaji uwanjaniVicent Crement10 months agoUnajua mchezaji anenda umbali gani akiwq uwanjani?