Simba imenisaidia sana katika maisha yangu kipindi hata wakati naondoka. Nakumbuka hata yule Dewji (Kassim) kwasasa hayupo sana mbele na timu lakini ni watu wazuri
Ligi Kuu Afrika Kusini utaratibu wa kushuka daraja huwa ni timu inayoburuza mkia ndio hushuka moja kwa moja mpaka daraja la kwanza na anaefwatia atakaemaliza Ligi katika nafasi ya 15 hucheza "Playoff".