Meneja: KMC waumini wa soka la vijana.
Tazama mfano mzuri ni yule Ally Msengi ambae kwasasa yupo nchini Africa Kusini anacheza soka la kulipwa lakini alipitia KMC hapa kabla ya kumruhusu kwenda huko.
Ally Oviedo: Nilitaka kuachana soka!
" Nakumbuka nilikua na timu ya mkoa wa Kinondoni (Mkoa wa kisoka), sasa pale kulikua na mchujo wa kwenda kuunda timu ya Kitaifa.
Beki KMC! Kama sio soka ningekua mwanajeshi!
Lakini nashukuru Mungu kipaji cha mpira pia kimenifanya kufika hapa.