Mtoto mmoja wa kishua, kwao maisha si haba kwani Baba yake alitengeneza fedha toka kitambo kupitia soka huku mama yake alivuna matunda kadhaa kwenye mpira wa wavu
Kwa urejeo wa Bundesiliga ni kiashirio kipya cha nusu kwa Ligi nyingine barani Ulaya ambazo pia zina mpango wa kumalizia michezo iliyobaki ili Ligi iishe na bingwa apatikane uwanjani!